Samatta ailetea heshima Tanzania

Usiku wa kuamkia leo January 8, 2016 Mtanzania Mbwana Samatta ametutoa kimasomaso baada ya kushinda Tuzo ya mchezaji bora Africa kwa wachezaji wanaocheza ndani ya Africa. Tuzo hyo imekuwa ya heshima sana kwa Samatta na Tanzania kwa ujumla...


Furaha ya Samatta haikuishia tu ukumbini bali mpaka chumbani kwani alionekana akiwa katika usingizi wa furaha huku akiwa na tuzo yake hyo...
Hongera sana Mbwana Samatta.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »